Search

284 results for Victoria Melkiad :

  1. Mabao ya Freddy yamuibua Phiri

    Phiri alisema kikosi cha Simba kinahitaji wachezaji ambao watajitoa kwa kujiongeza nje ya ufundi ambao utatoka kwa makocha wao.

  2. Zahera: Matampi ilibaki kidogo acheze Yanga

    Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya ‘cleansheet’ kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye ni gumzo kwa sasa kutokana na kazi bora.

    New Content Item (1)
  3. Guede alivyopindua meza ya usajili Yanga

    MABAO manane yametosha kubadili sehemu ya usajili wa Yanga baada ya mabosi wa timu hiyo kushtuka kwamba mshambuliaji Joseph Guede ana kitu miguuni na kichwani, na sasa ni miongoni mwa mastaa...

  4. PRIME Mama Bacca: Bacca kanilazimisha kuifuatilia Yanga SC

    WIKI iliyopita katika makala ya mahojiano na baba mzazi wa beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ alizungumza vitu vingi ikiwemo msimamo wake wazi kuwa hapendi mwanawe aende Simba kwa sasa. Leo...

  5. Mastaa Yanga wamshangaza Gamondi kambini

    KOCHA wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja aliokaa na timu hiyo, huku akifichua nyakati ngumu...

  6. Robertinho: Simba inahitaji mambo mawili tu, itoboe!

    SIMBA imeanza maisha mapya bila ya Abdelhak Benchikha aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo ikipata sare ya 2-2 na Namungo mjini Lindi katika Ligi Kuu Bara, huku kocha wa zamani wa klabu hiyo...

  7. Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana

    MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...

  8. Lomalisa kazini kwake kuna kazi

    WAKATI Yanga ikionekana kufanya vizuri na kusalia kileleni hadi sasa, lakin beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa naye kibarua chake kipo hatarini. Yanga iliyokuwa uwanjani jana jioni...

  9. PRIME Baba Bacca: Sitaki Bacca aende Simba

    KAMA ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’.

  10. Jezi zazuia mechi ya USM Alger, Berkane

    Mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) kati ya USM Alger ya Algeria na RS Berkane ya Morocco haujafanyika baada ya wageni Berkane kuzikataa jezi walizozikuta kwenye...

Page 1 of 29

Next